Siwez kuandika kama hivi Happy Valentine My Love ❤️

Happy Valentine My Love ❤️

i made something for you…

TO YOU MY ANGEL
najua tupo mbali, ila umbali hauwezi kuzuia moyo wangu kukupenda ❤️ Kila siku ninapokufikiria najua wewe ni zawadi yangu ya thamani. Siku ya Valentine hii natamani ningekuwa karibu nawe, lakini moyo wangu uko mikononi mwako milele. Nakupenda sana my love 💖
najua zawad hiii ni ndogo sanaaa lakin angalau itakufanya utabasam
itakufanya uone kuna mt angalau anajali kuhu wewe
it's me